NI MADUKA YALIYONYUMA NA DUKA LA KASISI YANAYO UZA VITENGE
DUKA LILILOKUWA LIKIUNGUA MARA BAADA YA KUZIMA MTO LIKIWA LIMEFUNNGWA KUOGOPA VIBAKA KULIVAMIA
ASKALI KANZU WAKIHAKIKISHA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO
BAADHI YA WENYE MADUKA YALIYO KARIBU WAKIANGUA KILIO BAADA YA KUZIMA KWA MOTO
GARI LA ZIMAMOTO MARA BAADA YA KUFANIKIWA KUZIMA WAKIJIAANDAA KUONDOKA
DUKA HILO JINSI LILIVYO TEKETEA KWA MOTO WAMILIKI WAKIFANYA USAFI ILI KUENDELEA NA BIASHARA
MMILIKI WA DUKA ZUBERI NDAILO MAARUFU KAMA PDD ALIYE KAA CHINI NA MWENYE SURUALI NYEKUNDU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment