Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa
Mick akiwa amezima baada ya kunya viroba na kisichana kwa kuonyesha
uwezo wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi ,hapa nalazimika
kukumbuka ule ujumbe wa chonde chonde! ulevi Nomaaaaaaaaaa!?
Hii ni karibu Pasaka kweheri ijumaa kuu
Mlinzi wa eneo la TFA akijaribu
kumsaidia baada ya polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa
wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu
Wasamaria wema wakimtazama meneja huyo chapombe akiwa amezima
....................................................................................
Ukisema ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni eneo na TFA mjini Iringa ambapo hadi sasa meneja huyu wa Club ya V.I.P akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita kiasi
Wakati sikuu ya Pasaka inafikia ukingoni leo kwa waumini wa dini ya Kikristo ulimwenguni kusherekea siku hiyo ya kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu Kristo ,katika mji wa Iringa mbali ya idadi kubwa ya wananchi kula pasaka kwa hali ya utulivu na amani ila baadhi yao wameamkia Hospitali baada ya kunywa pombe kupita kiasi .
katika tukio lililotokea katika eneo moja maarufu mjini Iringa ni baada ya kijana anayesadikika kuwa ni meneja wa Club V.I.P Bw Mick kuonyesha ujanja wake katika kunywa pombe kali aina ya konyagi na kupelekea kupoteza fahamu na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa akitibiwa ulevi wa pombe kupita kiasi.

Tukio hili si tu linashangaza ila linasikitisha japo pia ni fundisho kwa wengine wenye tabia ya kunywa pombe kupita kiasi kama hivi.
Kijana huyo anadaiwa kuwa na tabia ya kuomba omba pombe kwa watu pindi anapotembelea bara mbali mbali na siku hiyo ya mkesha wa pasaka wale waliochoka kuombwa ombwa pombe waliamua kuchanga pesa na kumpa ofa ya pombe kiasi cha kumfanya kijana huyo kujigamba kuwa ana weza kunywa konyagi chupa ndogo (Visichana) hata vitano kwa mpigo jambo ambalo alilianza kwa kunywa chupa mbili na viroba 5 na baada ya dakika 15 alianguka na kupoteza fahamu kwa siku mbili sasa bado yupo hoi Hospitali .
0 comments:
Post a Comment