Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 8, 2013

JK ABARIKI JESHI KWENDA KULINDA AMANI DRC CONGO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi bendera kiongozi wa batalioni ya  wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ( JWTZ), wanaokwenda kujiunga na  Jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,
 katika sherehe za kuwaaga zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa wa Pwani jana. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wanashuhudia. (PICHA NA IKULU)

0 comments:

Post a Comment