Pages

Ads 468x60px

Monday, May 13, 2013

TINGO WA ROLI ABANWA VIBAYA NA KUFARIKI DUNIA KATIKA AJARI ILIYOTOKEA MBALIZI JIJINI MBEYA

             TUNAOMBA LADHI KWA PICHA TUTAKAZOZITUMIA KATIKA HABARI HII



















JUHUDI ZA KULINYANYU ROLI HILO LILILOMBANA TINGO KAMA UNAVYO KIONA KICHA CHE CHINI HAPO ZIKIENDELEA

JESHI LA ZIMAMOTO WAKIJARIBU KUTUMIA MKASI KUKATA BAADHI YA MABATI ILI KUOKOA MWAILI ULIOBANWA NA ROLI

ROLI HILO LILIKUA NA SHEHENE YA MZIGO WA UNGA WA NGANO KUTOKEA JIJINI DAR ES SALAMA KWENDA TUNDUMA
                                                          NAMABA YA USAJIRI YA ROLI

                                                               NAMBA YA USAJIRI YA TERA
                                               MAJINA YA UMILIKI WA ROLI HILO











                                               SAMAHANI KWA PICHA ZINAZO FUATA

                              WATU MBALIMBALI WALIOFIKA KUSHUDIA AJALI HIYO





HIZI NDIZO JUHUDI ZA KUUTOA MWILI WA ALIYEKUA TINGO WA ROLI HILO JUMA SEREMANI ULIOKUA UMENASA KATIKA AJARI HIYO

-->
DAREVA WA ROLI  ASABABISHA AJARI ILI ILIYOUA MMOJA NA KUKIMBIA NI KATIKA MJI MDOGO WA MBALIZI JIJI MBEYA

TINGO WA ROLI HILO ABANWA VIBAYA NA KUFARIKI DUNIA WANGINE WATATU WAJERUHIWA NA KUKIMBIZWA HASPITALI  TEULE YA IFISI

Dereva wa roli lenye namba za usajili T 376 BXD na tela namba T572 BYQ  Majaliwa thabi mwanye umri wa miaka 42 amesababisha ajari katika mlima mbalizi barabara kuu itokayo Mbeya kuelekea Tunduma na kukimbia kusiko julikana.

Ajari hiyo ambayo chanzo chake hakikujulika na mapema inahofiwa  kusababisha kifo cha mtu mmoja  ambeye inasemekana ni tingo wa gari hilo na wengine wane kujeruhiwa chanzo chetu cha habari kimebainisha.

Tingo huyo ametambulika kwa jina la JUMA SEREMANI 26 waliojeruhiwa ni YASINTA JULIUS 18 huyu ni mwanafunzi mkazi wa igurusi, ROZI MBELE 22 mkazi wa chimera na JULIANA SAVINUS 21 makazi wa igawa.  

0 comments:

Post a Comment