Pages

Ads 468x60px

Friday, May 3, 2013

WATU WANAO JIHUSISHA NA VITENDO VYA UJAMBAZI WAZIDI KUTETEKETEA KWA KUUWAWA NA JISHI LA POLISI JIJINI MBEYA


WATANO WAUWAWA MARA TU BAADA YA MIEZI MCHACHE ILIYOPITA AMBAPO MMOJA ALIUWAWA MAENEO YA MLIMA NYOKA NJE KIDOGO YA MJI 


Akiongea na waandishi wa habari katika viwanja vya ofisi ya polisi mkoa wa mbeya kamanda DIWANI ATHUMANI juu ya tukio hilo amesema mauwaji hayo yametokea katika mapambano ya kurushiana risasi kati ya mjambazi hao na askari polisi.

“Mnamo tarehe 03.05.2013 saa 06:00 mchana katika kijiji cha Garijembe wilaya ya Mbeya vijijini barabara ya Mbeya kwenda tukuyu kumetokea kushambuliana kwa risasi kati ya askari polisi na majambazi watano, majambazi hao waliokua wakitokea kyela kuekea jijini mbeya wakitumia gari dogo yenye usajiri namba
T 911 BUG aina ya Toyota spacio kushuka kweye gari hiyo na kuanza kurusha risasi baada ya kusimamishwa na polisi: DIWANI amesema.

Ameongeza kuwa majambazi hao walikua na silaha mbili aina za SMG 848628 ikiwa na risasi kumi na sita na nyingine mark 111 yenye namba 94695 ikiwa na risasi mbili.

Mara baada ya mashambuliano hayo majambazi walijeruhiwa sehem mbalimbali za miili yao katika juhudi za kunusuru maisha yao walikimbiza katika hospitali ya Rufaa ya Mbeya kwa ajili ya matibabu  lakini ilithibitishwa na daktari kuwa wamekwsha kufa.

Kamanda wa polis mkoa wa mbeya ametoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa ushilikiano kwa yoyote mwenye kupata taarifa za uharifu azitoe katika mamlaka husika na taarifa hizo zitzkua sili kubwa na zitafanyiwa kazi haraka.
 

0 comments:

Post a Comment