Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 4, 2013

AJALI NYINGINE YA UA WATANO MBEYA

NI HIACE INAYOFANYA SAFARI ZAKE SOKOMATOLA IGAWILO NA TOYOTA LAND CRUSER ILIYOKUA IKITOKA UYOLE KUELEKEA MJINI BARABARA KUU ITOKAYO DAR ES SALAM TUNDUMA

NAMBA ZA USAJIRI ZA MAGARI YALIYO SABABISHA AJALI MAEENEO YA NANENANE  UYOLE JIJINI MBEYA

                                                                          MAENEO YA AJALI
                                         TOYOTA LAND CRUSER ILIYOSABABISHA AJALI
                               HII NDIYO HALIHALISI YA TOYOTA HIACE BAADA YA AJALIMPENZI MSOMAJI WA BLOG YETU TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZA MAJERUHI NA MIILI YA MAREHE TUTAKAZOZIONYESHA KATIKA HABARI HII SIYO NZURI KAMA HAUTAVUMILIA USITAZAMA HAPA               MAJERUHI HUYO HAKUELEWEKA KWAKUA ALIKUA KIMYA HAIELEWEKI


  HAWA NDIYO MAJERUHI WA AJALI HIYO WAKIPATIWA MATIBABU KATIKA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA
DEREVA WA HIACE AKIWA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI KATIKA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA
MIILI YA MAREHEMU WA AJARI HIYO IKIPELEKWA KUHIFADHIWA KATIKA CHUMBA CHA MAITO KILICHOPO HOSPITAL YA RUFAA MBEYA

1 comments: