Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 10, 2013

MCHUNGAJI MTIKILA AMWANDIKIA BARUA RAIS KIKWETE KUDAI GHARAMA ZA TANGANYIKA KWA ZANZIBAR TANGU 1964 ZILIPOUNGANA


 Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Idara ra Habari MAELEZO, Dar es Salaam jana, kuhusu barua aliyomwandikia Rais Jakaya Kikwete akimtaka auleze umma ni kiasi gani Tanganyika (Tanzania Bara) imetumia kuigharamia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Gharama za Muungano na umeme unaotumika Zanzibar kutoka Bara.
 Mtikila akifafanua jambo kuhusu Mchakato wa  mabadiliko ya Katiba Mpya ambapo yeye ameupinga
 Mtikila akiondoka baada ya mkutano huo wa dharula alioufanya kwenye ukumbi huo bila kulipia
Sehemu ya barua ya Mtikila kwenda kwa Rais Jakaya Kikwete. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

0 comments:

Post a Comment