Gwantwa mwaholi (mama maria)kabla ya vipodozi kuharibu
Gwantwa Mwaholi (mama maria) baada ya kuhalibiwa vibaya na vipodozi
Habari zaidi
Gwantwa Mwaholi (mama maria) baada ya kuhalibiwa vibaya na vipodozi
Habari zaidi
Mfanya
biashara maarufu wa matunda na mboga mboga jijini mbeya amewataka wanawake kuancha matumizi
ya vipodozi.
Gwantwa
mwaholi akiongea na muandishi wa Blog ya Malafyaleleo amewaasa wananwake wenzie
kuacha mara moja matumizi ya vipodozi kutokana na kuharibiwa vibaya sehemu
mbalimbali ya mwili wake
“Ninawashauli
wanawake wenzangu kuacha matumizi ya vibodozi ili kutafuta uremba kwani vina
madhara makubwa katika mwili wa mwanadam ukiniangalia mimi ni kama chatu
nilikua mlembo sana lakini kutokana na matumizi hayo yamenifanya nionekane kama
mzee” Mwaholi amesema
Kama ilivyo
kawaida ya wanawake wengi kununua vipodozi ambavyo vimekatazwa na serikali kwa
matumizi ya mwanadam
Gwantwa
mwaholi maarufu kwa jina la mama malia alikwenda katika duka lilipo karibu na
nyumbani kwake hapo Nzovwe kwa lengo la kupata urembo huo alipotumia mafuta
hayo mara moja ndipo ikapelekea kuwashwa na kisha kuumuka mwili mzima na
hatimae kuhalibika vibaya.
0 comments:
Post a Comment