Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 13, 2013

SHEIKH PONDA ALIVYOPATWA NA MISUKOSUKO BAADA YA JARIBIO LA KUTIWA MBARONI NA POLISI MOROGORO. SOMA HAPA



 KATIBU  wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda akihutubia kwenye Kongamano la Kiislamu lililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege , Kata ya Saba Saba , Manispaa ya Morogoro, Jumamosi Agosti 10, 2013.
Shekhe Ponda Issa Ponda akihutubia kwenye Kongamano hilo.

 Askari wa FFU wakijisongeza kati kati ya uwanja mara baada ya muda wa kongamano kumalizika.
 Kutambulishwa jukwaani Shekh Ponda.
 Kikosi cha FFU uwanjani
 Shekh Ponda akikaribishwa kwenye jukwaa kuu baada ya kuwasili kwenye viwanja vya shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege , mjini Morogoro
 Shekh Ponda akisalimiana na Mhadhiri wa Mihadhara nchini, Ustaadhi Abubakari
 Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Kongamano , Augosti 10, mwaka huu mjini Morogoro
 Shekh Ponda akiteta jambo na baadhi ya Viongozi wa umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro
 Shekhe Ponda akiwa meza kuu kwenye kongamano hilo
 Shekhe Ponda akiwa amezingirwa na waumini
 Umati wa waumini wa Kiislamu wakimsikiliza Shekh Pond
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa mjini Morogoro wakimsikiliza Shekh Ponda
Waumini wa Kiislamu wakitawanyika uwanjani baada ya muda wa kongamano kufikia tamati

0 comments:

Post a Comment