Pages

Ads 468x60px

Monday, October 28, 2013

JK AMWAPISHA NJOOLAY KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA


 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zana za kazi baada ya kumuapisha Daniel ole Njoolay (kulia) kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Ikulu, Dar es Salaam leo.
 JK akimwapisha Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji
 Rais Jakaya Kikwete akitia saini kiapo cha Naibu Waziri wa Kilimo, Raphael Dalubi baada ya kumuapisha
 Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Katibu Mtendaji mpya wa Bodi ya Mishahara na Masilahi, Tamika Mwakahesya.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano waKimataifa, John Haule 9kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Ulaya wa wizara hiyo pamoja na Steven Wasira (kulia)
 Wageni waalikwa
 Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) na Makamu wa Rais, Dk. Mohame Gharib Bilal (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na walioapishwa. Kutoka kushoto ni Dalubi, Mrindoko na kutoka kulia ni Njoolay na Mwakahesya.
 JK akizungumza na Njoolay
 JK akimchukua Mjukuu wa Mrindoko, Keila Kajia (6) wakati wa hafla hiyo
 JK kweli ni mpenda watoto
 JK akizungumza jambo na Makamu wa Rais, Dk. Bilal pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba wakati wa hafla hiyo.
JK akizungumza jambo na Makamu wa Rais, D

0 comments:

Post a Comment