| SHUGHULI ZA UFUKUAJI ZAANZA CHINI YA USIMAMIZI WA JESHI LA POLISI |
| JUHUDI ZA KUENDELEA KUUFUKUA MWILI WA ALIEZIKWA HAI ZAENDELEA |
| NI KAZI NI NZITO NA INAHITAJI UVUMILIVU |
| MWILI WA ALIEZIKWA HAI WAANZA KUONEKANA |
| MSAMARIA MWEMA ALIYEJITOLEA KUUTOA MWILI BAADA YA KUUKUTA |
| MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI |
| KATIKATI MJANE WA ALIYEZIKWA HAI |
| MWILI UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA UPYA |
| NDUGU WAKIWA NA SIMANZI |
| MOJA YA WANAUSALAMA AKIWASHUKURU NDUGU KWA UVUMILIVU WALIYOUONYESHA KATIKA MSIBA HUU MZITO |
| ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO NDIYO NDUGU WA MAREHEMU WALIVYOKUWA WAKISEMA |
| SHUGHULI YA KUZIKA UPYA IKIENDELEA |
| SHUGHULI
YA MAZISHI IMEKAMILIKA KWA AMANI NA UTULIVU LAKINI HAKUNA WANAKIJIJI
WALIYOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUU HOFU KUKAMATWA NA DOLA Picha na Ezekiel Kamanga Mbeya yetu |
0 comments:
Post a Comment