Pages

Ads 468x60px

Saturday, November 16, 2013

UZINDUZI WA HISTORIA KUFANYIKA NDANI YA JIJI LA ARUSHA

Ni mbeya moraviani Town choir wazindua Albam mbili kwa mpigo Bwana Ndiye mchungaji na Nimetemba kote







Waimbaji wa Mbeya moraviani Town choir wakiwa katika matembezi katika moja ya mitaa ya Iringa, kabla ya kuelekea huko Arusha



Waimbaji wakiwa katika chumba cha Rifti  walipotembelea Arusha Internationl comference center


Mbeya moravian Town choir watambelea Arusha International Comference Center

ukumbi wa mahaka ya makosa ya kimbali waimbaji wapata nafasi ya kutembelea







                        wapata nafasi ya kujadiliana mambo machache wakiwa katika ukumbi huo

 chunaji wa kanisa la Moraviani Ushirika wa Mbeya mjini TINGA akishukuru mara baada ya kutembelea ukumbi huo

Mwenyekiti wa Mbeya Moraviani Town Choir Aggrey Kandonga akitoa maelezo kwa waimbaji
 MUANDISHI MWANDAMIZI WA BLOG HII AKIWA PAMOJA NAO

0 comments:

Post a Comment