Maafari ya kumi na tatu yafanyika chuoni hapa
Katibu mkuu wa kanisa la moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi Wily mwasile akifungua maafari hayo
Viongozi wa chuo wakipunga mikono ishara ya kusalimia wageni walikwa
Mgeni rasmi Daudi Mwalisamba mratibu Benki ya wananchi Mbeya akisalimia wagenin waalikwa
Viongozi wa kanisa waliofika katika mahafari hayo
Paradise kwaya ya kanisa la moravia ushirika wa Ruanda wakiimba katika mahafari hayo
Picha za wanafunzi wanao hitimu na kuagwa leo katika maafari hii
Ndugu na jamaa walifika kushuhudia maafari
Mgeni rasmi baada ya kujibu risara afurahishwa na wanafunzi walipoanza kutoa burudani mbele yake
Panapofuka moshi ujue pana moto huyu kaanzisha kilichofuta hapa tazama hapo chini
kaongezeka mwingine
mwingine watatu
wamefika wanne
mwisho wa siku mambo yakawa hivi

0 comments:
Post a Comment