HAYO YAMESEMWA NA MWANYEKITI WA KANISA LA MORAVIANI TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI NOSIGWE BUYA ALIPOKUA AKIONGOZA IBAADA YA MAZISHI YA MOSES MWANSASU WA USHIRIKA WA RUANDA YALIYOFANYIKA HUKO SONGWE
MWANYEKITI NOSIGWE BUYA AKIHUBIRI KATIKA MSIBA HUKO SONGWE
MCHUNGAJI MWASHIBANDA WA KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA SONGWE AKITAMBULISHA WAGENI MBALIMBALI WALIOHUDHURIA MZISHI HAYO
MCHUNGAJI WA KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA RUANDA AKISOMA LITUGIA
MBEYA MORAVIANTOWN CHOIR WAKISHIRIKI IBAADA YA MZISHI
MWIMBAJI KWAYA YA PARADISE YA KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA RUANDA MWENYE NGUO NYEUPE NA NDIYE MJANE WA MAREHEMU MOSES MWANSASU
WATU MBALIMBALI WALIFIKA KATIKA MAKABURI YA SONGWE
MCHUNGAJI AMBIKILE SAMBO WA KANISA LA EAGT SONGWE AMBAYE ALIKUA KIVUTIO KATIKA KUONGOZA NYIMBO ZA MAZISHI
AKINA MAMA WA KITULANO WAKIMALIZIA MAZISHI KULIBAMANDA KABIRI KWA MIKONO
HABARI
WAUMINI NCHINI WAMEASWA KULIOMBEA KANISA KILA LINAPOPITIA KATIKA WAKATI MGUMU
HAYO YAMESEMWA NA MWANYEKITI WA KANISA LA MORAVIANI TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI NOSIGWE BUYA ALIPOKUA AKIONGOZA MAZISHI YA MUUMINI WA KANISA HILO USHIRIKA WA RUANDA MAREHEMU MOSES MWANSASU.
AKIONGEA KATIKA MAZISHI HAYO YALIYO FANYIKA KATIKA USHRIKA WA SONGWE NA KUHUDHULIWA NA WATU MBALIMBALI WAKIWEMO VIONGOZI WA DINI NA WAIMBAJI WA KWAYA, BUYA AMEWATAKA WAUMINI KULIOMBEA KANISA KWANI SHETANI YUPO KULICHEZEA.
"NINAWAOMBA NDUGU ZANGU KULIOMBEA KANISA WAKATI HUU LINAPITA KATIKA WAKATI MGUMU KWANI SHETANI AMAJIINUA NA KUTAKA KULITIKISA NA KULIYUMBISHA BILA KUWEKA MAOMBI YA KWELI LINAWEZA KUFIKA KATIKA MAAMUZI MABAYA" BUYA AMESAMA
AMEONGEZA KUA KWAUPANDE WAKE YEYE HAOGOPI KITU KWANI ALIKWISHA FARAKA NA SHETANI TANGU KUZALIWA KWAKE HIVYO AYAONAPO HAYA HAYA MSHANGAZI KWANI NDIYO MAPITO KATIKA MAISHA YAKE.
" MIMI MSINIOMBOLEZEE KWAKUA NILIKWISHA FARAKANA NA SHETANI TANGU KUZALIWA KWANGU HIVYO NIYAONAPO HAYA HAYANISHANGAZI NINAWAOMBA NINYI KUOMBA SANA KWAKUA MLINICHAGUA NA KUNIAMINI KULIONGOZA KANISA YANAPOTOKEA MACHAFUKO NI MUHIMU KWENU KULIOMBEA ILI NISIWE SABABU YA KULIHARIBU KANISA HILI" BUYA AMEONGEZA
DUNIANI HAPA PAMEJAA MITEGO YA SHETANI WAOMBAJI TUSIPO SIMAMA KWA WAKATI WETU ATAPATA NAFASI YA KUTUVURUGA NA KUPOTEZA RADHA KATIKA UTUMISHI WETU NA KUWA MFANO KWA JAMII UKRISTO SIYO CHAMA CHA SIASA TUUHESHIMU NA KUNYENYEKEA NA KUMUHESHIMU MUNGU
KWA WALE WASIO MUAMINI YESU BUYA AMEWATA KUJARIBU WAKOVU KWANI YA DUNIANI WAMETENDA INATOSHA WAJE KWA YESU WAJARIBU MAISHA YA WAOKOVU WAONE FAIDA ZAKE
"NJOONI MUONJE UTAMU WA WAOKOVU YA DUNIA MMETENDA YANATOSHA,
SHETANI AMEWATUMIKISHA JARIBUNI MAISHA MAPYA YA WAOKOVU KWAKUA MAANDIKO YANA SEMA DUNIANI MNAYO DHIKI" BUYA AMESEMA
MWISHO ALIWAPONGEZA SANA VIJA WANAOMTUKIA MUNGU KATIKA UMRI WAO WA UJANA KAMA ALIVYOKUA MAREHEMU MOSES MWANSASU KWANI NI VIJANA WACHACHE WANAO TOKA VIJIJINI NA KUHAMIA MJINI KUTAFUTA MAISHA WAKAENDELEA KUMTUMIKIA MUNGU WENGI WAO HUBADILIKA MARA BAADA YA KUKUTANA NA MAKUNDI YA MJINI.

0 comments:
Post a Comment