NI BAADA YA BAADHI YA WACHUNGAJI KUTOA WARAKA WA TAMKO LA
KUPINGA MAAMUZI YA KUMSIMAMISHA KAZI MWENYEKITI WA KANISA HILO NOSIGWE BUYA
MWANYEKITI WA KIKAO CHA WACHUNGAJI CHILALE EDWARD SIMONI AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI
KATIBU WA KIKAO CHA WACHUNGAJI JAMSONI MWILIGUMO AKISOMA TAMKO LA KUPINGA KUSIMAMISWA KAZI MWENYEKITI WA KANISA LA MORAVIANI TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGARIBI MCHUNGAJI NOSIGWE BUYA
MCHUNGAJI ENOKI BUKUKU AKISISITIZA JAMBO KATIKA KIKAO NA WAANDISHI WA HABARI
WACHUNGAJIMBALIMBALI WALIOFIKA KATIKA MKUTANO HUO KWA LENGO LA KUTOA TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI
HABARI
Akiongea na waandishi
wa habari katika ukumbi wa msyaliha uliopo Sokomatola jijini Mbeya mwanyekiti
wa kikao cha wachungaji kilicho pelekea kutoa tamko hilo mchungaji CHILALE
EDWARD SIMONI wa kanisa la maraviani ushirika wa Betherehem ameseama tamko hilo
linatokana na kutolidhika na maamuzi yaliyofanywa na bord ya kanisa.
“Ndugu waandishi wa habari
kwaniaba ya wachungaji wa kanisa la Moraviani Tanzania jimbo la kusini
magharibi tumewaita hapa ili kutoa tamko la wachungaji juu ya mgogoro huu
unaoendelea ndani ya kanisa letu kwamba tumekaa kimya muda wote huu lengo
nikutaka kuona hekima ya viongozi tuliowachagua inatumika kutatua mgogolo huu lakini mpaka sasa jambo hili linaonyesha lina
hila ndani yake hivyo tunatoa tamko hatutambui na tunapinga vikali maamuzi
yalifofanywa na bod ya ya kanisa kumsimamisha mwanyekiti NOSIGWE BUYA kama wachunga hatukubaliani na uamuzi huo”
CHILALE amesema
Ameongeza kua anawaomba viongozi wa bodi Askofu na kamati tendaji kuwa wasikivu ili kulinusuru kanisa kuingia katika machafuka zaidi kwani wachungaji wengi hawajapendwa na jambo hili,
"Nina waomba viongozi wa Bodi, Askofu na kamati ya utendaji tulio wachaugu kwa imani ya kuliongoza kanisa letu kuwa wasikivu katika jambo hili kwani si dogo kama wanavyo lifikilia sisi wachungaji tupo zaidi ya hamsini hatujapendezwa kabisa ni jinsi linavyo endeshwa na kulitesa kanisa pasipo sababu" CHILALE amesema.
0 comments:
Post a Comment