Pages

Ads 468x60px

Sunday, February 2, 2014

MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA MIAKA 37 YA CCM YAFANA MBEYA

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akiwa na baadhi ya viongozi tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi walioshiriki matembezi ya mshikamano 

KUELEKEA MIAKA 37 YA CHAMA CHA MAPINDUZI

Kada wa CCM, ambaye pia ni Katibu wa Siasa na Uenezi, Wilaya ya Mufindi, Daud Yassin. Amewatakia kila  la heri, Wanachama na wapenzi wote wa CCM, ndani ya nchi, na nje ya nchi. Katika kusherekea miaka 37 ya CCM.
Yassin amesema CCM ni Chama IMARA NA MAKINI. Hivyo amewataka wana CCM wote kuendelea kushikamana na pia kuendelea kukijenga na kukiimarisha CHAMA CHA MAPINDUZI.
              " UMOJA NI USHINDI"
         KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

0 comments:

Post a Comment