Pages

Ads 468x60px

Monday, April 14, 2014

AZAM FC YATANGAZO UBINGWA WA LIGI YA VODACOM TANZANI BAADA YA KUICHABANGA MBEYA CITY 2-1 KATIKA MCHEZO ULIOCHEZWA JUMALI HII KATIKA UWANJA WA SOKOINE

MWALIMU WA MBEYA CITY JUMA MWAMBUSI AMEWATUPIA LAWAMA WAAMUZI WA MCHEZO HUO KUTOITENDEA HAKI TIMU YAKE NUSULA MCHEZO UVUNJEKE BAADA YA KUSIMAMA ZAIDI YA MALA MBILI WACHEZAJI WAKILALAMIKIA KUTOTENDEWA HAKI.


 VIKOSI VYOTE VIWILI PAMOJA NA WAAMUZI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUANZA MPAMBANO
                                                        WAALIMU WA AZAM FC
                                                     WAALIMU WA MBEYA CITY
SUB YA AZAM FC

SUB ZA MBEYA CITY


                      WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA WAKISHUHUDIA MPAMBANO HUO

                             WACHEZAJI WA AZAM WAKISHANGILIA GOLI LA KWANZA


WAANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA MPAMBANO KWA MAKINI JAPO MVUA INANYESHA









MASHABIKI WA MBEYA CITY WAKIENDELEA KULA RAHA PAMOJA NA KUFUNGWA GOLI MOJA




CHANZO CHA VURUGU YA KWANZA NI KUANGUSHWA CHI KWA MCHEZAJI WA AZAM




WACHEZAJI WA MBEYA CITY PAMOJA NA MWALIMU WAO MWAMBUSI WAKIMZONGA MUAMUZI WAKIDAI ANAWAONEA WAKIWA NJE YA UWANJA


WAAMUZI WAKIJADILIANA JAMBO KWANI VURUGU HIZO ZILITAKA KUVUJIKA KWA PAMBANA



BAADA YA MBEYA CITY KUFUNGWA GOLI LA PILI HALI ILIKUA HIVI KILA MMOJA KILIO


                                 UPANDE WA AZAM HALI ILKUA NI FURAHA TUPU

MWISHO WA SIKU WAAMUZI WAONDOLEWA CHINI YA USIMAMIZI WA POLISI KUHOFIWA KUPINGWA NA MASHABIKI WA MBEYA CITY
MWALIMU WA MBEYA CITY JUMA MWAMBUSI AKIONGEA NA VYOMBO VYA HABARI AKI LALAMIKIA WAAMUZI WA MCHEZAO HUO KUTOWATENDEA HAKI KATIKA.
                                                     ULINZI WAIMALISHWA SANA


SHBIKI WA MBEYA CITY AKIGALAGALA KATIKA TOPE KUONYESHA MACHUNGU YA KUFUNGWA NA AZAM


                                                                     HABARI KAMILI



Kocha wa timu ya Mbeya City fc JUMA MWAMBUSI amewatupia lawama waamuzi wa mchezo uliochezwa mwaishoni mwa wiki hii katika kiwanja cha kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya kati yao na Azam fc ya jijini dar es salaam kwa kuto watendea haki katika mchezo huo.

Amesema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo huo kiwanjani hapo kwa timu yake kufungwa goli 2-1 dhidi ya Azam fc kuwa waamuzi walikua wakichezesha mchezo huo kwa kuwaonea na kwamba yeye kama kocha hajawahi kuwalalamikia waamuzi hao tangu kuanza kwa ligi hii lakini leo imemlazimu kutokana na mambo wanayotendewa kiwanjan hapo  kuwa wazi kabisa.

Mwambusi ameongeza kuwa anajivunia timu yake japo ni changa lakini ime onyesha mpira na nidhamu ya hali ya juu kwa kipindi chote cha mashindano ya ligi kuu ya vodaocom Tanzania na kuwa mfano wa kuigwa na Timu nyingine nchini ili kudumisha na kuendeleza soka la Tanzania.

Kwa  upande wake katibu wa timu hiyo E. KIMBE amesema wapo tayari kutoa ushahidi wa jinsi ambavyo hawakutendewa haki katika mchezo huo japo hauta badilisha matokeo lakini ni kuonyesha jinsi gani walionewa na kutotendewa haki katika mchezo huo.

Mmoja wa mashabiki wa timu hiyo Abrahamu mwankenja ameipongeza sana Timu hiyo kwajinsi walivyo onyesha mchezo wa hali ya juu uliokua na upinzani mkubwa nakutoa wasiwasi kwao juuya uvumi uliokua umetapakaa  kuwa wameahidiwa kupewa basi ili kuipa ushindi Azam fc.

Mwankenja ameongeza kuwa hawana  kinyongo tena na timu yao kwakua ilionesha mchezo wenye upinzani  mkubwa na niwazi kuwa hawakuwa nania ya kuuza mechi hiyo bali ni njama za waamuzi ndizo zimewanyima ushindi. Hata hivyo kasema mchzeo wa mpira nchini hauwezi kukua kama watu watakua wakitumia pesa kulazimisha ushindi ili kuchukua kombe.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxMWISHOxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx   

0 comments:

Post a Comment