Pages

Ads 468x60px

Friday, July 18, 2014

Habari picha tukio la ufungwaji kanisa la Moraviani

Ofisi za kanisa zilifungwa na Wachungaji na Waumini wa kanisa hili kushinikiza kujiuzuru Askofu Alinikisa Cheyo na kuitishwa mkutano mkuu Sinodi

















































Tukio zima la utekelezaji wa kuzifunga ofisi za kanisa la moraviani jimbo la kusini magharibi lilikua hivi

0 comments:

Post a Comment