Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 9, 2014

Umoja wa vijana Uvccm Tanzania wakutana mkoani Mbeya.

Ni wajumbe wa kamati ya utekelezaji ya mkoa na Baraza kuu la vijana Taifa katia kuwasimika Makamanda wa mkoa huu


Mwanyekiti wa ccm mkoa wa mbeya Godfrey Zambi alie katikati akiwasili katika mkutano wa vijana ukumbi wa ccm mkoa akiwa na mwenyekiti wa vijana Amani kajuna kushoto








Tot Band wakitumbuiza katika mkutano wa vijana


























Baadhi ya viongozi wa vijana Tanzania wakiongwazwa na mwenyeji wao Amani kajuna mwenyekiti vijana mkoa wa mbeya  waliofika kushuhudia sherehe za kuwaapisha makamanda wa mkoa na wilaya

0 comments:

Post a Comment