Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 23, 2014

Live toka ukumbi wa mtenda jijino Mbeya: Uzinduzi wa Kampeni za kusambaza uelewa wa Rasmu ya pili ya katiba kwa wananchi

Ambao umeletwa na kituo cha usaidizi wa sheria na haki za binadamu (LHRC) na kuzinduliwa na wakili wa kujitegemea Victor Mkumbe
Wakili wa kujitegemea Victor Mkumbe akifungua mdaharo huo ndani ya ukumbi wa mtenda jijini mbeya

                          Wanasheria wakiwa meza kuu pamoja na mgeni Rasmi katika mdaharo huo










                     Wananchi kwa wingi wajitokeza katika mdaharo wakiwa ndani ya ukumbi wa mtenda



              Mtaalamu wa lugha za alama Faraja Mbwilo akiwafafanulia wenyeulemavu wa kusikia





Baadhi ya wananchi wakilopata nafasi ya kuchangia mada ya rasmu ya pili wakitoa maoni yao
 Wakili Godfrey Mpandikizi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu
                                 Mwanasheria Lengai Merinyo kutoka kituo cha haki za binadamu
                               
Wakili Elibariki Maeda kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu

                                                             Rose Lugakingira
                        Mc Rose Ngunangwa akiongoza mjadala katika mdahalo huo

Machapisho mbalimbali ya Rasmu ya pili ya katiba yakiwa katika vitabu, majarida, cd Flash na memory cad
                       Rose Lugakingira akionesha machapisho mbalimbali ya rasmu ya pili ya katiba
 Mgeni rasmi wa mkutano huo wakili wa kujitegemea Victory Mkumbe akiongea kitu kabla ya kuzindua machapisho hayo,

Mgeni rasmi Victoy Mkumbe akizindua machapisho ya Rasmu ya katiba ya pili katika kampeni za kusambaza uelewa kwa wananchi nyanda za juu kusini

0 comments:

Post a Comment