Pages

Ads 468x60px

Friday, August 15, 2014

Timu zilizo wakilisha kanada 8 Tanzania zimewasili jijini Dar es salaama kushiliki Fainali za Spain perfect kupata timu moja itakayo kwenda Ispania


Fainali kufanyika katika viwanja vya Ridas zimedhaminiwa na kinywaji cha Castle Lager

Wachezaji wafanya ziara katika kiwanda cha (TBL) na kujifunza jinsi Bia inavyotengenezwa
 Baadhi ya wachezaji wakiwasili katika kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL)





Brand Manager castle lager Kabula Nshimo akiongea na wachezaji wa timu zote kabla ya kuingia ndani ya kiwanda.




Wachezaji wa timu zote wakisikiliza kwa makini maelezo toka kwa manager kabla ya kuelekea kiwandani.







                                                     Safari ya kuelekea Ndani ya kiwanda




Baadhi yao wakiangalia Shayili malghafi inayotumika kutengenezea bia



Ziara bado inaendelea Ndani ya kiwanda hicho wakitembelea kila kitengo nakujifunza shughuli zake

Moja ya malghafi kiitwacho Hops kinacho leta ladha ya uchungu katika bia









Kitengo cha maabara kikiwa katika kiwango cha kimataifa na kutunukiwa vyeti mbalimbali kwa kutoa vivywaji vyenye ubora
Mwenyeji wa ziara hiyo Emmanueli Sawe akitoa maelezo kwa wageni wake

Baadhi ya wafanyakazi wakiendelea na shughuri za uzalishaji kiwandani hapo












                               Hatua mbalimbali za uzalishaji wa bia




Baada ya ziara wachezaji wakisubiria kulejeshwa katika hoteli walizofikia

0 comments:

Post a Comment