Pages

Ads 468x60px

Wednesday, September 3, 2014

Mwanafunzi atupiwa mapepo yalipuka ibadani

Ni ibaada iliyofanyika katika kanisa la moraviani ushirika wa Mbeya mjini Mchungaji wa kanisa hilo Godfrey Tinga na waombaji wapambana nayo ili kuyatoa kwa maombi

          Mwanafunzi ambae jina lake limehifadhiwa akigalagala chini baada ya kuangushwa na mapepo
 Mchungaji Godfrey Tinga paoja na waombaji na baadhi ya waumini wa kanisa hio wakipamabana na kijana ambae kapagawa na mapepo alipotaka kukimbia


                      Waumini wakimbeba kijana wakimpeleka ktika chumba maalumu kwa maombi

0 comments:

Post a Comment