Pages

Ads 468x60px

Tuesday, November 11, 2014

Chama cha mapinduzi (CCM) cha pata mridhi baada ya kufariki Mbuzza Aliekua katibu itikadi nauenezi Wilaya ya Mbeya jiji

Fuatilia Habari picha mchakato mzima wa uchaguzi wa Katibu itikadi na uenezi wilaya ya Mbeya jiji

   Katibu wa wilaya ya Mbeya Doris akitoa maelekezo kwa wapiga kura kabla ya kuanza uchaguzi
                            Mwenyekiti wa wilwyw ya Mbeya jiji Mwaitenda akitoa maelezo
                    Msimamizi wa uchaguzi Charles Mwakipesilie akitoa muelekeo wa uchaguzi

                              Msimamizi wa uchaguzi namaba 2 akisoma kanuni ya uchaguzi







Wajumbe mbalimbali wakiongozwa na meya wa jiji Athanasi kapunga wakisikiliza kwa makini na kisha kupiga kura

                                                         
                                                             Mgombea Deo Mwasnaga
                   Mgombea Jeremia Mng`ong`o ambae ndiye mshindi katika kinyang`anyilo hicho
                                         Mgombea Mwajuma Abdalla alieshika nafasi ya pili
              Msimamizi wa uchaguzi akionesha box la kupigia kura kabla ya kuanza zoezi hilo





                                                         Shughuli za upigaji kura zikiendelea




Katibu Itikadi nauenezi mpaya Jeremia mng`ong`o akipongezwa baada ya kutangazwa mshindi



Soma hapa

Na Charles Abraham


Chama cha mapinduzi (CCM) cha pata  mridhi baada ya kufariki Mbuzza
Aliekua katibu itikadi nauenezi Wilaya ya Mbeya jiji
Chama cha mapinduzi wilaya ya mbaya jiji kimeijaza nafasi ya katibu itikadi nauenezi kilicho achwa wazi baada ya kufariki aliekua katika nafasi hiyo Emmanueli Mbuza kisha kuchukuliwa na mkurugenzi wa Tot Band Jeremia Mng`ong`o

Akiongea katika uchaguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa ofisi za ccm mkoa wa Mbeya msimamizi wa uchaguzi Charle Mwakipesile amewataka wagombea kukubari matokeo na kuvunja makundi enapo  hawatachakuchaguliwa , na kueka maslahi ya chama zaidi.

“Ndugu mliojitokeza kugombea nafasi hii kabla hatujaanza kupiga kura nina wakumbusha kua hakuna uchaguzi mdogo na kati yenu laima apatikane mshindi mmoja na wengine kushindwa hivyo ni muhimu kuyavunja makundi ili tuwe na umoja na kukijenga chama chetu” amesema Mwakipesile

Nae Jeremia mng`ong`o Amewashukuru sana kwa kumchagua na ameahidi kushirikiana nao kwa dhati na kuhakikisha chama kinasonga mbele na kushinda katika chaguzi mbalimbali zitakazotokea na kwamba yupo tayali kufanya kazi kwa moyo wote.

Katika uchaguzi huo ulikua na wagombea watatu wengine ni Deo mwasanga na  Mwajuma Abdalla ambao walikubaliana na matokeo hayo na kisha kuendelea na majukumu mengine ya kukijenga chama kwa pamoja na kukili kwamba asie kubari kushindwa si mshindani.

                                                                          MWISHO

 

1 comments: