Pages

Ads 468x60px

Monday, March 16, 2015

Breaking News!!!!

Mtu moja ambae hajajulikana bado jina lake anateketezwa kwa moto na wananchi wenye hasira kali mida hii baada ya kumpasua kichwa na kufaliki papo hapo  mtoto wa dada yake ambae alikua akiishi naye maeneo ya Nsalaga Uyole sababu hazijajulikana bado


Mwili wa mtu huyo ukichochewa na kuni za mabanzi ili kuuteketeza kabisa Polisi hawajafika bado

0 comments:

Post a Comment