TAARIFA YA AJALI MBAYA
YA BASI NA LORI ILYOTOKEA IRINGA
Taarifa za awali kutoka jeshi la polisi mkoani Iringa zinaeleza kuwa
basi la kampuni Majinja lenye usajili wa namba T438 CDE lililolaliwa na
Lori lilikuwa limebeba jumla ya watu 49, idadi hiyo ni pamoja na dereva
na kondakta wa basi hilo.wengi wa watu hao wamefariki dunia idadi ya
majeruhi haijajulikana bado.
Taarifa hizo zinaeleza kuwa kwenye mizigo mingi ya abiria waliokuwa
kwenye basi hilo kumepatikana madaftari mengi ya wanafunzi wa chuo kikuu
cha Dar es salaam hivyo jeshi hilo linaendelea kufanya mawasoliano ma
wamiliki wa gari hilo ili kujua kama lilikuwa limekodishwa kubeba
wanafunzi wa chuo hicho ama ni mchanganyiko wa kawaida wa abiria.
Hivi ndivyo Basi la Majanja linavyo onekana mara baada ya kuondoa Lori
lilikuwa limekandamiza basi hilo.
Umati wa watu mbalimbali wakiwemo wasafiri wasafiri waliokuwa katika
mabasi mengine wakiwa wamejaa kushuhudia Ajali hiyo.
Shughuli za uokoaji zikiwa zinaendelea
Muonekano wa Basi la Abiria na Lori yaliyo athirika kwa ajali hiyo
Mashuhuda
Basi la Abiria likiwa katika Hali mbaya baada ya ajali
Waokoaji wakiwa wanaendelea kufanya ushirikiano namna ya kuwasaidia watu
waliopata ajali hiyo.
Miongoni mwa watu wakiwa wanatazama namna Magari hayo yalivyopata ajali
Askari wa usalama Barabarani wakiwa wanahakikisha watu mbalimbali
waliodhurika katika ajali hiyo wanaweza kupata msaada/huduma kwa
haraka.
Basi lililokuwa limebeba abiria waliokuwa wakitokea Mbeya kuelekea Dar
es salaam Lenye namba za usajili T438 CDE likiwa katika hali mbaya.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

0 comments:
Post a Comment