Makamu wa mwenyekiti Zacharia Sichone |
Hayo amebainisha alipokua akifungua semina ya siku
moja inayo husu Rushwa kwa viongozi wa Taasisi na Wadau mbalimbali wa kanisa
hilo iliyofanyika katika ofisi kuu za kanisa
hilo zilizopo Jakaranda jijini Mbeya
Sichone amewataka washiriki wa semina hiyo kudumisha
amani nchini ikiwa nipomoja na imani zetu ya Wakristi na waisramu.
Akitolea mfano wa magaidi waliowaua Wakristo, na
Wairamu walio waokoa Wakristo ili wasiuwawe kwa kuwapa vazi la kike la kiisramu
(hijabu) hiyo huwezi kutuhumu kwamba kuna uhasama kati ya imani hizi mbili.
Akisoma neno kutoka katika biblia kitabu cha Zaburi
37:24 na Lika 3:3-12 akifafanua mistali
hiyo amewataka watu kudumisha Amani na utulivu tuliyo nayo nchini.
Mkurugenzi wa Uchumi, Mipango na Maendeleo wa Kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la kusini Magharibi Agripa Senka akiongea jambo kabla ya ufunguzi wa semina hiyo
Muwezeshaji wa Semina Kichere Mwita Afisa mwandamizi wa Takukuru Mbeya akifundisha kuhusu Rushwa
Afisa mwandamizi wa Takukuru Mbeya Mussa Ally akiongea na wanasemina |
Baadhi ya washiriki wa semina wakiwa ndani ya ukumbi wa kanisa uliopo jimboni hapo wakiendelea kusikiliza mafunzo
0 comments:
Post a Comment