Pages

Ads 468x60px

Monday, January 18, 2016

NEWS ALERT: MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE (TAA) AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI AKIFANYA MAZOEZI YA KUOGELEA

Marehemu Suleman Said wakati wa uhai wake 

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Suleiman Said amefariki akifanya mazoezi ya kuogelea 

Bwana  Suleiman alikuwa na utaratibu wa kuogelea kila siku asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake mbali mbali.

Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika mapema

0 comments:

Post a Comment