Waziri Mkuu, Kassi
Majaliwa, (wapili kulia), waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, (sera,
uratibu, na watu wenye ulemavu), Bi. Jenista Mhagama, na Afisa Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (wakwanza
kushoto) wakikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa tawi jipya la benki
hiyo mjini Songea leo Januari 4, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitazama kadi ya
akaunti yake ya Benki ya Posta Tanzania aliyokabidhiwa baada ya kuifungua
alipokuwa akifungua tawi la Benki hiyo la Songea Januari 4, 2016
Waziri Mkuu akiagana
na watuishi wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, baada ya kufungua tawi la
benki hiyo mjini Songea Januari 4, 2016. Watatu kulia ni Afisa Mtendaji
Mkuu wa benki hiyo, Bw. Sabasaba Moshingi, na wapili kulia ni Mkurugenzi
wa Huduma za Kisheria wa benki hiyo Bi.Mystica Mapunda Ngongi
Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Bw. Sabasaba
Moshingi, akimkabidhi zawadi ya saa ya ukutani yenye nembo ya TPB,
Waziri Mkuu Kassim majaliwa, baada ya waziri Mkuu kufungua tawi jipya
la benki hiyo mjini Songea leo Januari 4, 2016. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa
Ruvuma, Bw. Said Mwambungu
0 comments:
Post a Comment