Pages

Ads 468x60px

Friday, January 8, 2016

Waziri wa Afya atembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia) akiwa na Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, Profesa Mohamed Janabi alipomtembelea taasisi hiyo na kwenda kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Muadhama Kardinali Pengo alielazwa hapo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ni Ummy Mwalimu (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)  jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Taasisi hiyo ya Moyo, Profesa Mohamed Janabi.
 

0 comments:

Post a Comment