Chama cha waandishi wa habari za utalii na uwekezaji
Tanzania (TAJATI) wametembelea kiwanda
cha zana za kilimo kilichopo iyunga jijini mbeya.
Waandishi hao wamebaini kiwanda hicho kimesimamisha shughuli za uzalishaji kwa muda mlefu na mashine zote zimesha haribika na majengo yake yamefanyika kua godauni la kuhifadhia vipuli kutoka china
MWANDISHI WA HABARI BRAND NELSON KULIA AKIONGEA NA MKURUGENZI WA (ZZK)
MAKAMU MWENYEKITI WA CHRISTOPHA NYENYEMBE AKITETA JAMBO NA MTUNZA HAZINA TAJATI BRAND NELSON
WAANDISHI WA HABARI WAKIELEKEA KIWANDANI KUJINEA SHUGHURI ZINAVYO ENDELEA
MALGHAFI KUTOKA CHINA IMEINGIZWA KWA AJILI YA KUKUNJA NA KUA BATI ZA KUEZEKEA
MKURUGENZI AKIONESHA MASHINE YA KUKUNJA MIGONGO YA BATI
KIWANDA KIMEGEUKA KUA DUKA LA KUUZA BIDHAA KUTOKA CHINA
















0 comments:
Post a Comment