Mwenyekiti
wa Shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni, Kata ya Bondeni Wilaya ya Moshi
mjini Mkoani mkoani Kilimanjaro leo, Shufaa Kibaya, akimkaribisha
nyumbani kwake, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipokwenda
kuzungumza na wanachama wa CCM katika shina hilo, leo akiwa katika
ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa chama katika wilaya ya Moshi mjini.
Ktibu
wa CCM Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi Mjini, Gervas Lamaru
(aliyesimama) akizungumza kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu
Luhwavi kuzungumza na wanachama wa CCM shina namba 22, tawi la CCM
Mbuyuni katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai
wa Chama, jana.
Ktibu
wa CCM Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi Mjini, Gervas Lamaru akikabidhi
taarifa ya kata hiyo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu Luhwavi,
kabla ya Luhwavi kuzungumza na wanachama wa CCM shina namba 22, tawi la
CCM Mbuyuni katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza
uhai wa Chama, jana.. Kulia ni Mwenyekiti wa shila hilo namba 22 Shufaa
Kibaya.
Mwenyekiti
wa Shina namba 22, Tawi la CCM Mbuyuni wilaya ya Moshi Mjini, Shufaa
Kibaya, akifungua kikao kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab
Luhwavi kuzungumza na wanachama wa shina hilo, akiwa katika ziara ya
kukagua na kuhimiza uhai wa chama. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa
Kilimanjaro Deogratius Rutagumirwa.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na wanachama wa CCM
shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni, Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi
Mjini Mkoani Kilimanjaro, alipotembelea shina hilo, akiwa katika ziara
ya kukagua na kuhimiza uhai wa chama.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akimshukuru Mwenyekiti wa CCM
shina namba 22, tawi la CCM mbuyuni, Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi
Mjini mkoani Kilimanjaro, Shufaa Kibaya baada ya kumaliza kikao cha
kuzungumza na wanachama wa shina hilo, akiwa katika ziara ya kukagua na
kuhimiza uhai wa chama.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiagana na Diwani wa Kata ya
Bondeni na Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbuyuni, wilaya ya Moshi Mjini, mkoani
Kilimanjaro Masiu Kirusu, baada ya kuzungumza na wanachama wa CCM
katika shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni, akiwa katika ziara ya
kukagua na kuhimiza uhai wa chama.
Baadhi
ya wanachama wa CCM shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni,
wakimchangamkia Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kwa kupiga
naye picha baada kuzungumza nao katika shina hilo akiwa katika ziara ya
kukagua na kuhimiza uhai wa chama.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiagana na Mwenyekiti wa CCM
shina namba 22, tawi la CCM mbuyuni, Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi
Mjini mkoani Kilimanjaro, Shufaa Kibaya baada ya kumaliza kikao cha
kuzungumza na wanachama wa shina hilo, akiwa katika ziara ya kukagua na
kuhimiza uhai wa chama.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
0 comments:
Post a Comment