KATIKA MSIMU HUU WA MAVUNO KIANGAZI TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA UTAIPENDA KWA KUSHEREHEKEA NGOMA ZA ASILI YA KABILA LA WANYAKYUSA
| MKUSANYIKO WA WAKAZI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA WAKISHUHUDIA NGOMA ZA ASILI KWA WANYAKYUSA IKIWA NI KUSHEREKEA MAVUNO YA MWAKA |
| NGOMA ZA ASILI ZA KABILA LA WANYAKYUSA MAARUFU KAMA LING"OMA |
| WAKAZI WA TUKUYU NA VITONGOJI VYAKE WAKISHUHUDIA NGOMA ZA ASILI |
| MZUKA ULIPANDA KWA MASHABIKI NA KUMNYANYUA MPIGA NGOMA CHEZEA WANYAKYUSA WEWE |
| BURUDANI TOSHA SANA KWA STAIL ZA KUCHEZA NA JINSI YA KUPIGA NGOMA |
| ITAGATA WAINGIE.... BADO KUBABA KWANI MANI MWATUKWANYIA NYIEEEE |
| NGOMA ILIYOCHEZWA NA VIJANA CHINI YA UMLI WA MIAKA 25 ILIKUWA KIVUTIO KIKUBWA SANA KATI YA NGOMA 5 ZILIZOKUWEPO HAPO |
| WAZUNGU WAKABORESHA IKAWA TARUMBETA WANYAKYUSA WANATUMIA TARUMBETA ZA ASILI |
| KABLA YA NGOMA KUINGIA KUCHEZA WAZEE WANATANGULIA NA KUANGALLIA MAZINGIRA KWANZA |
| PAMOJA NA SUTI USIONE ANAIGIZA MZEE HUYU YUPO KAZIN NA KWA ASILI YA NGOMA HIZI BILA YA WAZEE KAMA HUYU MAMBO HAYAENDI KABISA |
| KABASELE AKIPATA DAWA YA BABAHUKU AKISHEREKEA |
| BAADA YA KUPATA VILOBA VYA KUTOSHA GALI LIKAZIMA HAPO HAKUNA MAELEWANO HATA KUNYANYUKA ALISHINDWA |
| KIT HAPO NDIO PENYEWE KWA WANYAKUSA |
| WATU WALITULIA NA KUPATA BARIDI MOTO KUHU WAKIBADILISHANA MAWAZO |
| MZEE MWAIKELA AKICHANGAMSHA AKILI KWA VILOBA |
| SHUGHURI NZIMA YA BURUDANI IKIONGOZWA NA MC KABIGI |
| HAFLA HII YA NGOMA ZA ASILI ILIANDALIWA NA UONGOZI WA KIVANGA TUKUYU MJINI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA |
0 comments:
Post a Comment