Pages

Ads 468x60px

Monday, August 28, 2017

TUNDU LISSU aliamsha Dude, ahimiza Mawakili Kususia Vikao vya Mahakama


Ni kauli ya Rais wa chama cha Mawakili Tanganyika akieleza sintofahamu yao waliyo nayo mawakili hapa nchini baada ya tukio la kushambuliwa kwa IMMMA ADVOCATES.

Baada ya taarifa hiyo baraza hilo kupitia Rais wake limelaani vikali vitendo hivyo na na kuomba ufanyike uchunguzi wa kina ili kuwezesha kujulikana kwa wahusika.

Kwa mujibu wa rais wa TLS shambulio dhidi ya wakili mmoja ni shambulio la mawakili wote na hili ndilo agizo kwa mawakili wote nchini.
Shambulio hilo licha ya kuharibu jengo la ofisi hizo pia limeteketeza baadhi ya mali na nyaraka za mawakili ofisini hapo.

0 comments:

Post a Comment