Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 7, 2012


·        Mtoto mwenye vichwa viwili azaliwa Muhimbili
Mtoto wa ajabu amezaliwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akiwa na vichwa viwili, lakini kiwiliwili chake kikiwa na viungo vya kawaida.


UKATILI WA KUTISHA WAENDELEA JIJINI MBEYA,


MIMBA YA KITOTO KICHANGA  CHATUPWA KWENYE GUBA LA TAKATAKA

KITOTO KICHANGA CHENYE JINSIA YA KIUME KINACHO KADILIWA KUWA NI MIMBA YA MIEZI KATI YA SITA (6) NA SABA (7) KIMEKUTWA KIMETUPWA KATIKA GUBA LA KUTUPA TAKATAKA MAENEO YA SHULE YA MSINGI MWANGE MWANJELWA, KITOTO HICHO KIMEKUTWA NA MSAMALIA MWEMA AMBAYE HAKUTAKA JINA LAKE  LITAJWE.

MTU HUYO ALIFIKA ENEO HILO KWA MINAJILI YA KUTAKA KUTUPA TAKATAKA ALIONA KANGA ILIYOLOA DAMU NA ALIPOSOGELEA AKAKIONA KICHANGA HICHO KIKIWA KIMEWEKWA JUU YA KANGA HIYO NA NDIPO ALIPOTO TAARIFA POLISI AMBAO WALIFIKA NA KUKICHUKU NA KUONDOKA NACHO, MAPAKA SASA HIJAJULIKANA AILIYE HUSIKA NA UHALIFU HUU.

UKATILI HUU KWA AKINA MAMA UMEZIDI KUSHAMILI KATIKA JIJI LA MBEYA KUMEKUWA NA VINDO VYA NAMNA HII VYA UTUPAJI WATOTO  VINAJITOKEZA MARA KWA MARA AMBAPO WIKI MBILI ZILIZOPTA MAENEO YA IYUNGA KILIJITOKEZA KITENDO CHA KUTUPA MTOTO KATIKA SHIMO LA MAJI MACHAFU.  
                                                naomba radhi kwa picha ya mtoto utakayoiona 

hiki ndicho kitoto kilichotupwa kwenye guba la kutupia taka maeneo ya soweto karibu na sule ya msingi mwenge
 

1 comments: