Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 10, 2012

Hii ni barabara itokayo Riftvale hotel kuelekea isanga iliyojemgwa kwa kiwango cha Lami hivi karibuni na sasa iko katika hali hii unyoiona hapa na inahalibiwa na magari ya wachina yanayobeba vifusi  kwa kuzidisha mzigo hivi waliopewa majukumu ya kusimamia wanaiona au ndio mambo yetu yale ya 20%

0 comments:

Post a Comment