CRDB YA MWAGA MAPESA
KKKT
Banki ya CRDB Imechangia zaidi ya shilingi milioni miamoja
katika ujenzi wa chuo kikuu kishiriki Kitarajiwa cha Tumaini Makumira nyanda za
juu kusini kwenye arambee iliyo andaliwa na kanisa la kiinjiri la kitheri
Tanzania (kkkt)dayosisi ya konde.
Hayo yamejili baada ya kanisa hilo kupungukiwa zaidi ya
shilingi milioni 300 kutoka michango ya waumini
ili kuweza kufanikisha unjezi wa chuo hicho ambacho kinatarajiwa
kubadilishwa kutoka chuo cha ualimu na kuwa chuo kikuu katika mikoa ya nyanda
za juu kusini
Akizungumza katika harambee hiyo Mgeni rasimi Mkurugenzi
mtendaji wa Benki ya CRDB Dr.Charles Kimei amesema kuwa kuwepo na vyuo vingi
nchini vitawasaidia sana wazazi katika kupunguza ghalama za masomo maana itasaidia wanafunzi kupata
masomo yao wakitokea majumbani mwao.
Amesema kuwa nijambo la
msingi sana taasisi na makanisa yanapo fanya elimu kusonga mbele,jambo
ambalo linapashwa kuungwa mkono ili kuhakikisha
hata familia za kimasikini zipate fursa ya kupata elimu ya juu.
Akiwasilisha Risala
kwa mugeni rasimi Mwalimu mkuu wa chuo hicho Mchungaji Gwamaka Mwankenja
amesema kuwa KKKT Dayosisi Konde
imejiwekea lengo la kukusanya fedha milioni Miatano ambayo itumika kuanzisha
ujenzi wa jingo la utawala lenye madarasa mawili.
Kwaupande wake mkuu
wa kainsa la KKKT Dayosisi ya konde
Askofu Israel Mwakyolile ameshukuru sana na kutoa pongezi
zake katika benki la CRDB Kwa kutanbua uhitaji wa kanisisa hilo katika
kufanikisha ujenzi wa Chuo hicho ambacho kitakuwa ni msaada mkubwa kwa wakazi
wa Mikoa ya nyanda za juu kusini.
END……………………….
0 comments:
Post a Comment