WAKRISTO
WAASWA KUWA NA UMOJA KATIKA NYAKATI HIZI ZA MWAISHO, ILI KUITETEA IMANI NAUKRISTO
WAO, HAYO YAMESEMWA NA MCHUNGAJI MARIAM KYOMO KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU
ILIYOANDALIWA NA KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA MBEYA MJINI.
AMESISITIZA
KUACHA UTENGANO NA KUSEMANA VIBAYA KATIKA HUDUMA HII YA KUMTANGAZA KRISTO, WOTE
TUPO KATIKA SHAMBA MOJA NI AJABU MTUMISHI MUNENEA MWENZEI MAMBO MABAYA.
“NINASHANGAZWA
SANA NA WATUMISHI WA NYAKATI HIZI ZA MWISHO KUSIMAMA NA KUMKASHIFU MTUMISHI
MWINGINE NA WOTE WAKIWA KATIKA KUMTUMIKIA YESU KRISTO”AMESEMA KYOMO
ALIONGEZA
WAKRISTO KUWA MAKINI NA WATUMISHI MATAPELI WANAO IFANYA INJILI YA KRISTO NI DILI
KWAKUJIKUSANYIA PESA KWA KUWADANGANYA KWA MIUJIZA YA KIMAPEPO NA KUWACHANGANYA
WAUMINI KISHA KUWAACHA WAKIWA HOI WALA KUTOPONYWA MAGONJWA YAO.
“WAUMINI
WENGI MMEKUWA MKITANGATANGA NA MADHEHEBU YESU AKIJA ATAWAKUATA NJIANI MNATOKA
DHEHEBU HILI NA KWENDA LINGINE HUKU MKIIBIWA MALI ZENU KWA KUFUATA MIUJIZA YA
KIMAPEPO”AMESEMA KYOMO
MWISHO ALITO
WITO KWA VIONGOZI NA WAUMINI KUJIFUNZA KUTOKA KATIKA DINI ILE NYINGINE YA MAMA
MOIGO WALIVYO JIPANGA KULETA UMOJA WAO KATIKA KUITETEA DINI NA IMANI YAO.
0 comments:
Post a Comment