MAKAMU WA MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB MODESTUS NKULU AKIFUNGA MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI
MJUMBE WA KAMATI KUU YA MBEYA PRESS CLUB CHARLES MWAKIPESILE AKIMKARIBISHA MAKAMU WA MWENYEKITI ILI AFUNGE MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI
WAANDISHI WA HABARI WALIOHUDHURIA MAFUNZO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
MAKAMU WA MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB MODESTUS NKULU AMEWATAKA WANDISHI WA HABARI WALIOPATA MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM KUYATUMIA MAFUNZO HAYO KWA FAIDA YA JAMII NZIMA
AMEYASEMA HAYO ALIPOKUWA AKIHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU NNE KWA WAANDISHI YENYELENGO LA KUWAJENGEA UWEZO WA KUANDIKA HABARI KWA NJIA YA MTANDAO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment