MMOJA WA POLISI AKIJARIBU KUMUOKO KUTOKA KWA MAKADA WA CCM |
MTU MMOJA ANAYESADIKIWA KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHEDEMA) AMEJIKUTA KATIKA WAKATI MGUMU WA KUPATA KIPIGO NA WANAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) BAADA YA KUVAMIA MKUTANO WAO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA WILAYA
MTU HUYO ALIEJULIKANA KWA JINA LA SWILA WILIAMU MKAZI WA KALOBE MWENYE UMLI WA MIAKA 50 NA NI MKUU WA SHULE YA SEKONDARI MSHEWE AMEKUMBWA NA MKASA HUO BAADA YA KUINGIA KATIKA MKUTANO KWA KITAMBULISHO CHA AFISA USALAMA WA TAIFA BILA KUJUA KUWA ANAJULIKANA NA BAADHI YA WANACHAMA WA (CCM)
BWANA WILIAM BAADA YA KUOKOLEWA NA JESHI LAPOLISI ANASHIKILIA NA JESHI HILO KWA KUPATA MAELEZO ZAIDI
0 comments:
Post a Comment