Pages

Ads 468x60px

Monday, October 1, 2012

MWAMBULUKUTU AWAASA WANACHAMA WA CHA MAPINDUZI CCM KUVUNJA MAKUNDI MALA BAADA YA UCHAGUZI ILI KUKIJENGA CHMA HICHO

MWENYEKITI MSTAAFU WA MKOA WA MBEYA MZEE MWAMBULUKUTU AKIHUTUBIA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KABLA YA KUPIGA KURA ZA KUWACHAGUA VIONGOZI NGAZI YA WILAYA
MBUNGE WA VITI MAARUMU JIMBO LA MBEYA MJINI MERY MWANJELWA AKIONGEA NA WANACHAMA WA CHAMAM CHA MAPINDUZI KATIKA UCHAGUZI WA WILAYA
WANACHAMA WA CCM WAKISIKILIZA HOTUBA YA MBUNGE WA VITI MAARUMU MERY MWANJELWA KABLA YA KUANZA UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA WILAYA

0 comments:

Post a Comment