HIKI NDICHO KIKOBE KILICHOKUWA KIKIGOMBANIWA
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA UFUNDI FHILIP MLUGU WAKIWAPONGEZA WACHEZAJI WA PHILIBAT BAI KWA USHINDI KUSHOTO NI MWENYEKITI WA CHANETA TAIFA MAMA BAI NA MMILIKI WA TIMU HIYO KULIA NI MWENYEKITI WA CHANETA MKOA WA MBEYA MERY
WAZIRI WA ELIMU NA UFUNDI PHILIP MLUGO AKIKABIDHI KOMBE KWA VIONGOZI WA TIMU YA FHILBAT BAI
MASHABIKI NA WACHEZAJI WA FILIBAI WAKIJIAANDAA KUSHANGILIA USHINDI
MASHABIKI WA FHILBAT BAI WAKISHANGILIA KWA NGUVU USHINDI WALIOUPATA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment