Pages

Ads 468x60px

Monday, October 1, 2012

TANZANIA BADO TUPO HIVI HUKO VIJIJINI

HUU NDIYO USAFIRI KAMA UNVYOMUONA FHILIMONI NGWANGA AMETOKA KUTEKA MAJI KWA AJILI YA MATUMIZI YA NYUMBANI
NA HAPA WANYAMA HAWA WAMETWISHWA MZIGO HUU WA MIWA KUELEKEA SOKONI KAMA WALIVYO KUTWA NA MPIGA PICHA WETU HUKO ITAKA MBOZI

0 comments:

Post a Comment