Wakati
serikali ikiendelea kukemea na kuelimisha raia kuhusu masuala mbalimbali ya
usalama barabarani, bado imeonekana elimu hiyo kutowaingia wakazi wa eneo la
Mbalizi Mkoani Mbeya, kufuatia kitendo cha wakazi hao kukwapua mafuta wakati
Lori la mafuta lilipoanguka katika eneo hilo na kuua watu kadhaa.
Mwandishi wa habari hii anasema
kwamba ameshuhudia watu wakiendelea kujichotea mafuta yaliyokuwa yakitoka
katika tenki la mafuta lililokuwa likiungua kitu ambacho ni hatari.
Hebu kodoa jicho lako hilo
ambalo Mwenyezi Mungu kakupa kutaza tukio zima hapa….
0 comments:
Post a Comment