UKISTAAJABU
ya Musa utayaona ya Firauni huo ndio msemo pekee ambao naweza kuutumia katika
kukujuza yaliyotokea mapema leo mchana katika ajali mbaya ya Mbalizi Mbeya
Vijijini.
Wakati wengine wakiendelea
kuokoa majeruhi wengine wamejikuta wakifanya tofauti na vile ilivyotegemewa pale
kijana mmoja alipojitoa mhanga na kuingia katika mmojawapo wa waokoaji na
kutaka kumchomolea fedha “ waswahili huita mshiko”.
Asalale kijana huyo ambaye
hajafahamika jina mpaka mauti yanamkuta katika tukio hilo alikwidwa na
mashuhuda wa ajali hiyo na kupewa kichapo cha mbwa mwizi wa kuku.
Hebu nisiendee mbali sana
kodoa jicho hapa…
0 comments:
Post a Comment