Sakata hilo limetokea asubuhi ya jumatano ambapo waumini wa
kanisa hilo walifika kwa lengo la kutaka kufanya ibaada ya umoja wa akina mama
na kukuta milango imefungwa na makufuli mengine na kubandika matangazo ya katika milango hiyo yaliyosomeka
MLANGO UMEFUNGWA KWASABABU MCHUNGAJI HANA AMANI NA WAKKRISTO TAFADHALI
USIFUNGUE MPAKA UONGOZI WA JUU UTAKAPO FIKA BY UTAWALA.
Mwandishi wa habari hii alikutana na makamu wa mwenyekiti
ZAKARIA SICHONE,Mwenyekiti wa wilaya ya Meya mjini mch swila na mchungaji wa
kanisa hilo Ambao walifika kanisani hapo kwa kusudi la kusikiliza tuhuma hizo hawakuwa
tayari kuzungumzia mgogolo huo
0 comments:
Post a Comment