UZINDUZI HUO ULIANZA NA BURUDI YA VIKUNDI VYA SANAA HIKI NI KIKUNDI CHA AWILO |
KIKUNDI CHA MAKILIKILI CHA MBEYA KIKIBURUDISHA MAMIA YA MASHABIKI WA FILAMU WALIOHUDHULIA UZINDUZI HUO ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MKAPA |
BAADHI YA MASHABIKI WALIOHUDHURIA UZINDUZI WA FILAMU YA KIJAKAZI ULIOFANYIKA KATIKA UKUMIWA MKAPA |
MMOJA WA WASANII WALIOG'ALA KATIKA FILAMU YA KIJAKAZI AKIINGIA UKUMBINI AKIWA AMESHIKA CD TAYARI KWA KUZINDULIWA |
MGENI RASMI CHIEFORDER FUNGO NAIBU MEYA WA JJI LA MBEYA WA PILI TOKA KUSHOTO AKISUBURI KUKABIDHIWA CD YA FILAMU YA KIJAKAZI ILI AIZINDUE KUSHOTO KWAKE NI JULIUSI MSAKA KATIBU UVCCM MBEYA MJINI KULIA KWAKE NI MKURUGENZI WA VOLCANO ARTIST GROOP SAMWELI MWAMBOMA ANAYEFUATIA KULIA NADANIELI MWAKISYALA DIWANI KATA YA MANGA
MGENI RASMI AKIPOKEA CD TAYARI KWA UZINDUZI |
BAADA YA KUZINDULIWA MGEI RASMI ANA WAONYESHA WASHABIKI WA FILAMU WALIOHUDULIA |
MKURUGENZI WA VOLCANO ARTIST GROOP AKIWASHUKURU MASHASHABIKI WA FILAMU WALIOHUDHURIA KATIKA UKUMBI WA MKAPA |
MRATIBU WA LIFE TIME INTERTAINMENT & MARKETING LMD VENANSI MATINYA AKITO HOTUBA KWA WAKAZI WA MBEYA KUIPENDA SANAA YAO KULIKO ZILE ZA NJE YA MKOA HUU ILI KUKUZA SANAA |
0 comments:
Post a Comment