GARI LENYE NAMBA ZA USAJIRI T513 AJR LILIKUWA LIKITOKEA SOKO MATOLA KUELEKEA MBALIZI LILILOINGI GAFRA BARABARANI LIMEGONGWA UBAVUNI NA KUJERUHI MJAMZITO ALIYEKUWA NDANI YA BASU HILO
ASKALI POLISI WA USALAMA BARABARANI AKIWASILI ENEO LA AJARI ILIYOTOKEA UMATI NJIA ITOKAYO SOKO MATOLA JIJINI MBEYA
ASIKALI POLISI BWANA MANUMBU AKIPIGA PICHA ZA AJARI HIYO ILIYOTOKEA BARABARA ITOKAYO POLISA KUELEKE SOKOMATOLA
|
MOJA YA BASI LILILOHUSIKA KATIKA AJARI MAENEO YA UMATI SOKOMATOLA JUMAPILI YA LEO |
|
BASI LILILOGONGWA MALA BAADA YA KUINGIA GAFRA BARABARA KUU LILIKUA LIKITOKEA SOKOMATOLA KUELEKEA MBALIZI |
BASI HILI NDILO LILILOLIGONGA UBAVUNI LILIKUA LIKITOKEA MBALIZI KUELEKE SOKO MATOLA
|
DEREVA WA BASI LENYE NAMBA ZA USAJIRI1900AGP ELIASI MWAMPASHI ALIYEKUWA AKITOKA MBALIZI KUEELEKEA SOKOMATOLA NA KULIGONGA UBAVUNI GARI LINGINE |
|
MJAMZITO EDINA HALINGA ALIEJERUHIWA MKONONI KATIKA AJARI HIYO AKIWA AMESHIKILIWA AKIPELEKWA KITUO CHA POLISI KUPATA PF3 YA KUTIBIWA |
|
|
MASHUHUDA WA AJARI HIYO WANASEMA NI UZEMBE WA DEREVA ALIYEKUWA AKITOKEA SOKOMATOLA KUELEKEA MBALIZI KUINGA BARABARA KUU BIRA KUANGALIA UPANDE MWINGINE HIVYO KUSABABISHA AJARI HIYO NA KUKIMBA
0 comments:
Post a Comment