Pages

Ads 468x60px

Monday, October 22, 2012

MKUU WA MKOA WA MBEYA AZINDUA MAONYESHO YA TASISI YA TAIFA YA TAFITI ZA MAGONJWA MBALIMBALI YA BINADAMJU (NIMR) MKOANI HAPA

CHARLES MWAKIPESILE KULIA NA ASSISYA WAKIMSUBURI MGENI RASMI AFIKE KATIKA VIWANJA VYA MAONYESHO NNJE YA JENGO NIMR LILIPO KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA
  WATU MBALIMBALI WAKIWA KATIKA VIWANJA VYA MAONYESHO HAYO NJE YA JENGO LA TAFITI HIZO

MKUU WA MKOA WA MBEYA ABASI KANDOLO KUSHOTO AKIWA NA MKURUGEZI WA NIMR KITUO CHA MBEYA  DR LEONARD MABOKO WAKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA MAONYESHO

0 comments:

Post a Comment