Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 10, 2012

MWENYEKITI NA MAKAMU WAKE WACHAGULIWA KUENDELEA KULIONGOZA KANISA LA MORAVIANI TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI KATIBU MKUU NJE


Hali hiyo imejitokeza katika mkutano wa sinodi unofanywa kila mara baada ya miaka minne kwa mujibu wa katiba ya kanisa hilo hufanya mkutao wa kuchagua viongozi wa kuliongoza kanisa kwa miaka mine mingine
Hivyo katika uchaguzi huo aliyekuwa mwenyekiti NOSIGWE BUYA na Makamu wake ZAKARIA SICHONE wamepata nafasi nyingine ya kuongoza kwa muda wa miaka mingine.
Kwaupande wa aliyekuwa katibu mkuu DAUD MALIMALI NSWEVE hakupata nafasi ya kuchaguliwa tena na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa mkuu wa chuo cha uchungaji cha utengule WILLE MWASILE.
Naviongozi wangine ni pamoja waliokuwa wenyeviti wa wilaya zote tatuza jimbo hili kuchaguliwa tena nakuendelea kuongoza wilaya zao pamja na hao wajumbe wa bodi ya kanisa ambapo badhi yao waondolewa kwa kukosa sifa za kuendelea kuchaguliwa hivyo nafasi zao kuchukuliwa na wajumbe wengine.

KABRA YA KUANZA UCHAGUZI WAJUMBE WALIANZA NA KUJADILI MADA MBALIMBALI


WAJUMBE WA BODI YA KANISA WAKIENDELEA NA MKUTANO WA SINODI
KABRA YA KUJIUZU KWA UWONGOZI MWENYEKITI NOSIGWE BUYA AKIHUDUBIA MKUTANO KWA MARA YA MWISHO



MASIKOFU MBALIMBALI WALIHUDHULIA KATIKA SINODI HIYO KULIA NA MAKAMU WA MWENYEKITI MCH KABIGI ANAYEFUATA ASKOFU JONASI KASITU WA LUKWA MWINGINE NI ASKOFU MWAKAFWILA WA JIMBO LA KUSINI KUSHOTO KWAKE NI ASKOFU ALINIKISA CHEYO



ASKOFU CHEYO AKITOA HOTUBA KABRA YA KUANZA UCHAGUZI


BAADA YA KUJIHUDHURU VIONGOZI WOTE WALIPITA MBELE YA MAASKOFU













0 comments:

Post a Comment