|
WAANDISHI WA HABARI WAKIWA WANAENDELEA NA MAZOEZI YA VIUNGO JANA JUMATATU KATIKA UWANJA WA SHULE YA MSINGI AZIMIO |
|
SADA MATIKU MWANDISHI WA HABARI WA CHN TEN AKIPIGA DANADANA KUPASHA MWILI KATIKA MAZOEZI YA WAANDISHI WA HABARI YANAYOENDELEA KATIKA KIWANJA CHA SHULE YA MSINGI AZIMIO |
|
MWANA DADA HAYUKO NYUMA ANAMLIPA SADA MATIKU DANADANA ALIZOPIGA |
|
MAZOEZI YA VIUNGO YANAENDELEA |
HAPA PIGA UA SIENDELEI NIMECHOKA NI JOSE MWAISANGO MWANDISHI WA MBEYA YETU AKIWA AMECHOKA MARA BAADA YA MAZOEZI MAZITO YA VIUNGO
0 comments:
Post a Comment